Professional Mixing & Mastering

Transform your raw recordings into radio-ready tracks with our professional audio engineering services

Starting at $45 per track

Hear The Difference

Before Mixing Raw
After Mixing Mixing
Final Mix Mastering

Our Services

Mixing

Professional audio mixing with attention to balance and effects.

$20

Mastering

Final polish and optimization for all streaming platforms.

$25

Mixing + Mastering

Complete package from raw tracks to final master.

$45

Whatsapp

Swahili
English

Translate

Followers

Drivers

Hackintoshi ni nini

Hackntoshi ni kuingiza Mfumo wa Mac kwenye pc za Windows
Hasa zile zenye Intl processor leo tutafanya installation
hatua kwa hatua jinsi ya kusakinisha mfumo wa mac kwenye pc ya hp EliterBook 8470p

Infomation kamili za pc hii

  • Hp EliterBook
  • i5-3320M
  • Graphics card Intel HD 4000
  • Ram DDR3 8GB
  • HDD 500 GB

Vitu muhimu ambavyo unatakiwa kuwa navyo

  1. Usb flash kuanzia 15Gb
  2. Mac setup
  3. EFI
  4. Rufus
  5. Mintools partition
  6. CPU-Z

Download hapa chini

Install mac OS on USB flash

Install mac OS on USB flash

installation ya Mac OS Kwenye usb flash

EFI partition settings

EFI installation

EFI installation

BIOS Settings

Intel BIOS settings


Zima pc yako wkati unaiwasha Bonyeza Kitufe Mfano
Kitacho kupeleka Kwenye setting ya BIOS
Mfano kwenye PC za HP ni F10
Ukisha ingia Funga hizi settings hapa chini

    Disable

  1. Fast Boot
  2. Secure Boot Serial/COM Port
  3. Parallel Port
  4. VT-d
  5. Enable

  6. VT-x
  7. Above 4G
  8. Hyper-Threading
  9. Execute Disable Bit
  10. EHCI/XHCI Hand-off
  11. SATA Mode: AHCI

Zingatia

Sio kila kitu nilicho kitaja hapo kwenye pc
YAKO Kitakuwepo Hii nikwasababu Computer
Zinatofautiana

Hatua ya kwanza

Zima pc yako ikiwainawaka bonye bonyeza F10 HP
/F12 DELL
Itaingia sehemu ya BIOS Tafuta sehemu ya Boot Option

Boot Option

Installation

installation

Baada ya Ku save changes pc yako itazima kisha
iatwaka ikiwaka itakuja sehemu hii Katika picha ya kwanza
Ikiwa itawaka na Haujaona Jina External USB Hard
Drive Angalia picha ya pili
Katika picha ya Pili utaona Nimeweka Mishale katika
External USB Hard na Boot From EFI file
Katika pc yako
Yanaweza toka Majina hayo mawili Kwa pamoja au Lika tokea
Jina moja pekee Angalia picha namba Tatu

Cubase free v1

Free presetes

Cubase

  1. Finder
  2. Document
  3. Steinberg
  4. Setting Effect
copy presetes na paste ndani ya Setting Effect
njia ya pili drag and drop Fungua Data yako
Kisha chukua na kuweka

Windows user

Fungua This PC Document /Steinberg/Setting Effect

Download

Afro Drum kit

    Afrobeat Drum kit

Hii ni AfroDrum kit unaweza kuitumia kwa kila aina ya mziki
kwasababu inajumuisha aina tafuti tafuti ya ya Drums
ikiwemo vitu kama

  • Drum Loops
  • Melodic Loops
  • One Shots
  • Kicks
  • Perc
  • Snares
Download file